A FLOW SLIM, NATACHA: MAPENZI MUBASHARA
Baada ya kusikika A FLOW SLIM kwenye wimbo wake LA NUMBER ambao inasikika kwamba alikua akimuagizia ujumbe msanii mwenzie NATACHA ambae inafahamika kwamba yupo tayari ndoani.
Leo hii al-khamisi 28 Disemba, 2017 majira ya saa tano asubuhi, zimeonekana picha kadhaa za wawili hao wakiwa sehemu kwenye bustani A flow akimcharazia kinanda Natacha kwa ishara ya kumuimbia wimbo.
Tukumbuke kwamba Natacha aliahidi kumuonyesha ushirikiano mkubwa msanii huyo ambapo hakuweza kufunguka ni aina gani ya ushirikiano...
Baada ya hapo alionekana A flow kwenye exclusive interview ya NGM TV SHOW alipoulizwa kuhusiana na wimbo huo amejibu kua ni hisia zake zaukweli dhidi ya Natacha kwa maana kwamba anampenda kwa dhati.
Kama umepitwa na interview hiyo hii hapa nimekusogezea
0 comments: